MSADA: UTOFAUTI KATI YA CARINA TI NA CARINA SI.

Thelionden

Senior Member
Apr 7, 2018
165
156
Wakuu habarini za mihangaiko, kama title inavyo jieleza hapo juu ningependa kujua utafauti uliopo kati ya Carina ti na Carina si katika vigezo hivi:-
I.Fuel consumption/ matumizi ya mafuta
II.Engine size
III. Uimara wa body na engine
IV. Stability kwa njia
Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau wote wenye uelewa kuhusu mashine hizi na wasio na uelewa karibuni nasi tuvune kitu hapa kwa wajuzi.
 
Npo seat ya kwanza hapa nasubiria wadau waje
 
Tofuati kubwa ni engine tu. Ti ina engine ya 1.5l wakati Si ina engine ya 1.8l. Kikubwa ni kwamba Si itakuwa na nguvu kuliko Ti ila pia itatumia mafuta zaidi.
 
Tofauti ya fuel consumption ni kubwa sana mkuu?
 
Hapana, sio kubwa saana. Ti ni kama Corolla AE100 zote zina engine ya 5A. Ushauri wangu, kama unataka Carina kwa matumizi ya kawaida, hasa mjini, hiyo Ti iko poa saana. Si (1.8l) na GT (2.0l) ni kama unasafiri saana ndio utaona raha yake. Ti pia kwa safari sio mbaya, ila haichanganyi haraka kama Si na Gt.
 
Shukrani kwa maelezo mazuri yaliyoshiba mkuu.
 
Hapana, sio kubwa saana. Ti ni kama Corolla AE100 zote zina engine ya 5A. Ushauri wangu, kama unataka Carina kwa matumizi ya kawaida, hasa mjini, hiyo Ti iko poa saana. Si (1.8l) na GT (2.0l) ni kama unasafiri saana ndio utaona raha yake. Ti pia kwa safari sio mbaya, ila haichanganyi haraka kama Si na Gt.
Na Si ina engine ya 7A pia GT ina engine ya 3s gte hii ina turbo.
 
Back
Top Bottom