Msaada

emmilia

New Member
Dec 4, 2010
1
0
Mimi ni mwajiriwa katika Taasisi moja ya Fedha hapa nchini,wafanyakazi kwa ujumla tumekuwa tukilumbana na mwajiri wetu juu ya mikopo ya wafanyakazi(staff Loan) kwani ni midogo na isiyo kidhi uhalisia wa gharama za maisha.
Mwajiri anasema kuwa Circular ya BOT haimrurhusu mfanayakazi hasa wa taasi ya fedha kukopeshwa mshahara wake zaidi ya mara kumi na mbili(12).Yaani unaruhusiwa kukopa Basic Salary yako mara kumi na mbili na si vinginevyo.(basic salary x 12).
Je hivi ni sahihi hususan katika taasisi nyingine za fedha?au ni kwetu tu?
Sisi kama wafanyakazi tulipendekeza kukopa Basic salary x 18
Je hiyo corcular kweli inasema hivyo au ni longo longo za mwajiri wetu?
wenzetu wa twiga Bancorp,suala hilo pia linawakumba??
 
Unahangaika nini? wee wee waibie tu kama wao walivyochota kwenye EPA halafu anza USA kama Balali na watakutangaza umekufa na hapo biashara itakuwa imekwisha
 
Back
Top Bottom