Msaada

Aug 9, 2013
12
0
Naomba msaada ntawezaje ku update status na mwisho ikajieleza sehemu niliko.mfao:joseph mboneko usiku mwema near kigoma tanzania
 
Kwenye nn labda

Dalili zote ni kwamba kwenye Facebook ingawa sina uhakika.

Unatumia computer? Hii itakua simple tu. Ukishaandika status yako, pale chini utaona icon ya location, click hafu unaandika mahala ulipo.

Kama unatumia simu, je browser gani? Kama umedownload app ya Facebook ni simple zaidi. Ukishaandika status yako utaona kadude ka location pale chini kabonyeze, andika mahala ulipo ndio post.

Kama unatumia browser kama Operamini etc, it's impossible.

Mfano hapa kama unatumia PC. Unaona hapo palipozungushiwa na red oval? Hiyo ndio location jamaa alipo. Kushoto kwake kuna kaalama hivi, basi ako ndio unaka-click kisha itatokea sehemu unaandika mahala ulipo.
(Kwenye App ya Facebook katika smartphone iko hivi hivi pia.)

facebook-remove-location-5225584.jpg
 
Back
Top Bottom