msaada

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1476516_204259383092419_1833218108_n.jpg
 
Kwanini atanue kipindi kama hiki cha mvua?atumie winji kulinasua hapo
 
Ulifanya kosa gani?
Ilikua bank mida ya saa 2 ucku nimepark gari niingie kwenye atm sasa kumbe hapo wamezuia parking na sikufaham coz ndio sehemu ya parking siku zote ila kumbe imesitishwa kwa muda kwa ajili ya ujenzi unaoendelea ndani, yaani ile nataka kushuka tu kwny gari askari akanifuata akiwaka nikamwambia kistaarabu kabisa ngoja nitoe gari basi maana sikufaham kama imezuiwa akachomoa eti anipeleke kwenye banda lao, sasa kutaka kuingia kwenye gari niitoe akakoki bunduki nikashuka,mwenzake akaja fasta nikala mitama ya kutosha kwanza kabla ya kunivuta ndani kupigwa mabuti ya mbavu na vitako vya bunduki vya kutosha kichwani nusura wanitoboe macho.... bahati jamaa niliyekuwa naye akapiga simu kwa boss wangu akaja na mkuu wa upelelezi haraka ndo ikawa pona yangu.. kesi iliwageukia vibaya sana na walikiri walikua wamelewa,maana usiku ule nimetoka hospital waliniita na Boss wangu (maana gari ilibaki pale hadi tumetoka hospital) wakaomba msamaha baada ya kuona kesi imewageukia wao..(maana tulienda kufungua jalada usiku huohuo na askari mmoja wao cha kushangaza akajikuta anaandikwa yeye na mwenzake ndio watuhumiwa)..Kesi iliwakalia vibaya ila mwishoni niliamua tu kuwapotezea japo watu walinishangaa sana kwa jinsi walivyokua wamenijeruhi
 
PatricknTafadhali tuambie Eneo na Namba za hawa maaskari kama unazo. Hivi sio vitu vya kupotezea tuu. Wakimuua mtu utaweza kulala uzingizi ukijua unaweza kufanya mabadiliko?
 
Pole sana....
 
Mkuu ni kweli unachosema hata watu waliosikia ile habari walisema vivo hivyo na ndio sababu ya kunilaumu kuwaachia...mimi siku ile wangeweza kuniua maana nilikua napigwa hadi nikawa nahisi am just dreaming maana nilikua nimekalishwa chini wakawa wananikita na vitako vya bunduki tokea juu na nilivuja sana damu...sema sikua mbishi kabisa na wahusika wengine waliwahi kufika eneo la tukio...ila ni muda umepita sasa ni kama mwaka.. Nashkuru Mungu sikutiwa kilema
 
Pole sana Kaka.
Ilikua wapi?
 
Hao Mbuzi wanabahati sana uliwasamehe...Ungezaa nao tu mkuu!
Kwa kweli niliwaona mbumbumbu sana wale madogo, eti walijua mimi ni mwanafunzi wa chuo...sasa ndo ushangae wanafunzi wa chuo ndo wanastahili kichapo cha bure bure?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom