Msaada

Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
602
563
Wakuu heshima kwenu!hivi hii barabara ya Mwenge mpaka Tegeta inayojengwa sasa hivi mbona haieleweki?iliwekwa lami pande zote mara tena naona wanaikwangua kila siku ukipita hapa kuna lami ukienda mbele kiraka,kwa wataalamu wa ujenzi tunaomba mtusaidie ujenzi huu kitaalamu ndio unaitwaje?
 
Back
Top Bottom