Kwa nini unataka kumpitisha mtoto njia ya mkato kielimu? Muache aendelee kusoma mfumo rasmi aende 5/6 halafu mambo mengine yatajiseti yenyewe huko mbele. Kwa level hiyo choice ya vyuo kwake itakuwa very limited.wajameni nina mtoto wa dada yangu ndio kamaliza form 1v sasa na kapata dvs 3 ya point 24. ni mvulana je kuna vyuo gani vizuri anaweza kwenda na kuwa na hakika ya kupata kazi kwa uhakika?