Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 822
- 370
Mwenye kujua dawa ya vidonda vya tumbo kwa gharama nafuu anisaidie,nimejipiga nikaenda kwa rahabu laki 360 imenitoka lkn cjafanikiwa
Nimejaribu tabata nimeambiwa dozi laki 450
Nimepima nimeonekana na vimelea vya h.pylory
Kama kuna dawa nisaidieni angalau bei nafuu
Nimejaribu tabata nimeambiwa dozi laki 450
Nimepima nimeonekana na vimelea vya h.pylory
Kama kuna dawa nisaidieni angalau bei nafuu