msaada

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,096
920
wanajamvi polen na kazi.mi nilikuwa naomba msaada ,sina cheti cha kuzaliwa na kinahitajika na bodi ya mikopo ya vyuo vikuu haraka,sasa nimeambiwa kuwa naweza chukua affidavit ya muda.mi ni mgeni kwa mambo ya kisheria,je ntaipataje affidavit na wapi ntapata na kwa mda gani?
 
Kupata Affitavit ni zoezi la masaa tu, popote ulipo nenda Mahakama yoyote ya Wilaya ata bila kuonana na Hakimu onana tu na Makarani wa Mahakama wao watakusaidia kupata hiduma hiyo kwa garama ndogo sana au Tafuta Wakili yeyote wa kujitegemea atakusaidia ni ndani ya masaa unapata Affidavit, kama vipi ni PM nikuelekeze zaidi
 
Muambie kabisa asiwape zaidi ya buku 5 na adai several copies.

Mtoa mada, kwa nini usiende rita ukachukua birth certificate tu ya tzs 20,000/= kama ipo karibu? Siku 3 tu unapata cheti bila hongo.
Kupata Affitavit ni zoezi la masaa tu, popote ulipo nenda Mahakama yoyote ya Wilaya ata bila kuonana na Hakimu onana tu na Makarani wa Mahakama wao watakusaidia kupata hiduma hiyo kwa garama ndogo sana au Tafuta Wakili yeyote wa kujitegemea atakusaidia ni ndani ya masaa unapata Affidavit, kama vipi ni PM nikuelekeze zaidi
 
Kupata Affitavit ni zoezi la masaa tu, popote ulipo nenda Mahakama yoyote ya Wilaya ata bila kuonana na Hakimu onana tu na Makarani wa Mahakama wao watakusaidia kupata hiduma hiyo kwa garama ndogo sana au Tafuta Wakili yeyote wa kujitegemea atakusaidia ni ndani ya masaa unapata Affidavit, kama vipi ni PM nikuelekeze zaidi

Tunapenda watz kama ww ambao wako tayari kutoa msaada bila malipo. Heko! Kwa sana.
 
Back
Top Bottom