Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,097
- 920
wanajamvi polen na kazi.mi nilikuwa naomba msaada ,sina cheti cha kuzaliwa na kinahitajika na bodi ya mikopo ya vyuo vikuu haraka,sasa nimeambiwa kuwa naweza chukua affidavit ya muda.mi ni mgeni kwa mambo ya kisheria,je ntaipataje affidavit na wapi ntapata na kwa mda gani?