Msaada

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Naweza kutumia external hard disk katika deki za kawaida apart from pc? Km ndio ni deki za haina ipi na zinapatikana wapi?
 
Mkuu kitu cha kuangalia ni compatility ya file unalotaka kurun kwenye deck yako. Kwa mfano,wakati unanunua deck utakuta wameandika files inazoweza kuplay - MP3/CD/VCD/MP4/Blue Ray etc. so ukiweka external yako kama kuna files za aina hiyo zitakuwa scanned na deck,kisha itazioroddhesa zote itakazoweza kuzicheza.

NB- kuna wakati deck inaweza kugoma kucheza hata files ambazo ni compatible kwake. Hapo utatakiwa kuziconvert kuenda kwenye mfumo ambao itazicheza. Kwa uzoefu,deck nyingi hazina shida kucheza file za mfumo wa MP3,MPEG1/2 na WAV.
 
Nmekusoma mkuu
 
Vile vile mkuu angalia kitu hii ni muhimu sana sio External zote zinaweza kusomwa kwa DVD player endapo hiyo DVD player ina-support external za capacity kadhaa kwa mfano kuna baadhi ya DVD player husoma external za GB 250 hadi 500GB nyingi huishia 60GB-80GB
 
Thanks bro
 
Back
Top Bottom