msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by NESE, Feb 5, 2012.

 1. N

  NESE New Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini Dawa ya vidonda vya tumbo japo ya kupooza
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45

  aluminium hydroxide+magnesium hydroxide, cemetidine ,omeprazole , kwa ushauri muone dactari akufanyie diagnosis kujua nini kimesababisha vidonda vya tumbo (peptic ulcer)
   
 3. K

  KALENDA Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kama umepimwa na kuthibitishiwa kuwa ni vidonda vya tumbo, jaribu kufanya yafuatayo:-
  pima kijiko kimoja cha unga wa habbat soda + kikombe kimoja cha maziwa fresh ya ngombe + kikombe kimoja cha asali
  mbichi + kiini cha yai la kuku wa kienyeji koroga uchanganye vizuri.
  Dozi kijiko cha chakula vitatu asb, vitatu mchana na vitatu usiku kwa siku 21.
  Mchanganyiko huu umewasaidia wengi, jaribu kisha urudi kutueleza matokeo yake huna haja ya ku-pm.
   
Loading...