Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penny, Oct 21, 2008.

 1. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana Jf za leo wandugu, napenda kutoa shukrani zangu kwa wale wote walionipa ideas nyingi hapo nyuma kwenye ile post yangu ya kwanza. Kwa kweli nimeanza kuona mabadiliko kadha wa kadha kutoka kwa mwenzangu. Ila sasa katika maongezi yetu nimekuja gundua mwenzangu yuko kizani hajui yepi general knowledge ya kumfanyia mwanamke( what a woman needs from a man). So ambaye yuko tayari kunisaidia kuniorodheshea vizuri hizo data nashukuru sana. Ameziomba kwa hiani yake kuzifahamu processes vizuri kwa undani sana ili yasijekumtokea tena kama yahapo awali nilivyokwisha kuwaeleza.
  Asanteni
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tafuta hiki kitabu ukiweza,
  Men Are from Mars, Women Are from Venus

  Kiliandikwa kitambo kidogo. It is not the best available, but it is good to start with.
  Wengine wanaweza kukupa recommendation nzuri zaidi.
  .
   
 3. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thank my dear for your help, my Mr. kwa kweli kimombo hakipandi kabisa. Nafahamu vipo vitabu kama hivi ila sasa yeye hataelewa. So i just wanted something written in swahili so that I can forward it to his e-mail and he read it through step by step. Hope i will get some assistance in that, lets waith for other members too.
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Oct 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Penny,

  Najisikia kukusaidia, lakini naogopa... Sijui nianzie wapi. Vitabu si naweza kukupa ukavipeleka kwenye swahili? It's easy mama!
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna kitabu kimoja kimeandikwa na jamaa mmoja na mkewe nimesahau majina yao.Kitabu kinaitwa Majibu kwa ndoa yako,kina mazingira ya kikristo kwani pia kina mistari mingi tu ya biblia.Mie ni muislam but that was one of my best books talking about merriage.Kitabu ni kizuri sana tu na kinaweza kutoa msaada mkubwa kwa kuanzia.Kipo cha kiswahili na kama uko dar,ukienda pale catholic bookshop azania front kama sijakosea unaweza kukipata.
  Ubarikiwe sana.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Kama uko Dar nenda pale Christian Bookshop mtaa wa Mkwepu opposite na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (National Bureau of Statistics) kitengo cha Sensa. Bookshop hiyo ina viaried marriage literatures, for instance kuna two books there How to beat your wife and how to beat your husband!!!!
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nakushauri (kwa nia nzuri tu iwapo kweli nawe wampenda mumeo) nawe usome kisha umfahamishe/'umsomeshe' hatua kwa hatua huyo mumeo badala ya kumtumia email/txt msgs...
   
 8. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  These books are so good.Mwenyewe nimevisoma vimenisaidia sana.Kwa Arusha vinapatakana Kimahama na moshi naamini vipo pale Christian bookshop.Ukipata vijabu vilivyoandikwa na pastor Hiza pia ni vizuri sana.Vinapatiakana kwenye Christians bookshops
   
 9. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Well asanteni kwa kunipa where to get the books. May be to be clear am not in Tz am out of the country. Mwenye kuweza kunimiminia majamboz hapa nitafurahi sana. Kuna Invisible and Pdiy, you guys are very good in this matter, may I ask for you help. Nawengine wote mnakaribishwa pia.
   
 10. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nisaidia ndugu yangu niokoe ndoa yangu mwee. Wewe anzia popote tuu. Sasa na hivyo vitabu kupeleka kiswahili ni ngumu kwangu maana google tool yangu haina swahili language. Yani hata ukiweza kunipa mistari tuu baadhi itatosha mkuu. Asante sana.
   
 11. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  wewe na mumeo,you are not in TZ,sasa mko nchi gani,tuwashauri vitabu,vya lugha ya huko.obviousily kuendelea na everyday chores,u must be speaking the language ya hapo mnapoishi
   
Loading...