Sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama)

KASEHUYE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
299
59
Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto watatu. Ahsanteni!!
 
Kama mke wako hana ajira, nakusikitikia sana, pole yako. Mzigo wa matunzo yote ya watoto yatakua juu ya mabega yako kila mwezi (Matumizi, Ada, Bima Ya Afya, Chakula N.K).

Ila kama mke ana ajira, ondoa shaka maana nusu kwa nusu mtachangia juu ya matumizi ya watoto. Ila atakae ishi na watoto atapunguziwa mzigo kidogo ya mchango.

Na kama mkeo hana ajira na ana watu wanaomshawishi au ana nia ya kukuburuza polisi (Deski la jinsia na watoto) au mahakamani kudai matunzo ya watoto, nakushauri wahi mapema kumfungulia hata genge la kuuza nyanya au kabeji au bamia au vitumbua. Hii itakuweka salama kwenye kujitetea huko mbeleni mwa safari (Utanielewa na kunishukuru baadae sekeseke likianza).

Ahsanteni kwako pia. Mungu akubariki na zahama linaloku nyemelea.
 
Miaka saba KACHUKUE kachaliii lakin nje na miaka hiyo anatakiw kukaa na mama yake mpka anapotimz miaka hiyo hvy Basi kipind chote matumiz yote unatoa na mke nae anafaid hap lakin miak saba mchukue kijan kma pesa inaruhusu mpelek boding kurud likizo mkuu na hap ndio mwish wa huy mkeo wa awal
 
Back
Top Bottom