msaada!

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Hivi ikitokea umebanwa na kujamba halafu mbele ya watu wa heshima utafanyaje?
 
kwani una mpango wa ku-rest in peace?
mtoa mada, unaunganishia na kikohozi cha kidhushi

hahahaha! Mkwe umenichekesha kuunganisha na kikohozi. Lol. Kuna siku mtu mzima alijamba nikawa najikaza nisicheke, yule mtu akaniambia we cheka tu usiogope.
 
We unajamba tu ulafu unasema sory ambo yanaenda kama kawaida
 
sredi zingine zinakataga stimu kweli yani, yakikukuta ndo utapata akili ufanyeje
 
hahahaha! Mkwe umenichekesha kuunganisha na kikohozi. Lol. Kuna siku mtu mzima alijamba nikawa najikaza nisicheke, yule mtu akaniambia we cheka tu usiogope.

We sasa ndo umeniliza, akakwambia ucheke tu ili uongeze days of living teh teh,
 
Kunashairi moja linasema

"Watoto msishangae, kujamba ni kupumua.
Upepo ukishapita, ushuzi unapungua.."
 
kama upo sebureni unaongeza sauti ya redio kisha unaachia, ukimaliza unapunguza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom