Msaada

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Salam zenu wakubwa,
Naombeni msaada kwa desktop yangu haitaki keundelea kuwaka mara niiwashapo ikfikia inaonyesha neno 'welcome' haiendelei zaidi ya hapo hata nikisuburi zaidi ya nusu saa au zaidi bado inabaki katika hali hiyo hiyo! Natumia window XP. Nahitaji msaada wenu wakubwa!

Natanguliza shukrani zangu, asanteni!
 
Iko tatizo me mwenyewe ninalo.....kwangu nikiiwasha inaandika toshiba inastack hapohapo milele.......ila nikaja kugundua kuwa tatizo lilikuwa kwenye hard disk yangu hivyo nkaamua kuibadili na kuinstall windowa upya.....ebu ingia kwenye setup kwakupress F12 kama sijakosea thn utachek kama HDD inaonekana kwenye list ya drives
 
Unapowasha bonyeza F8, kisha jaribu kufungua kwa safe mode, ikishindikana basi repair window.
 
thanx wakubwa ngoja nijarribu nione kama ntafanikiwa nikishindwa ntapiga chini window mijakwa moja
 
bonyeza f8 ikianza kuwaka itatokea safe mode achana nayo teremka chini utakuta last known good configurations chagua hii kitu mashine itajizima na kuwaka,kazi ya hii kitu ni kuifanya pc itafute jinsi ilivyofanya kazi vizuri mara ya mwisho,ikikataa repair hiyo windows
 
Back
Top Bottom