Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndume, Aug 7, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba kutajiwa website ambazo nikiingiza swali lolote lina sovika na kupata majibu.
  Hasa kwa masomo ya Adv.Math & Adv.Phy
   
 2. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wacha uzembe fanya maswala .
   
 3. n

  ndume Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sio mimi ni mzembe bali ni kwamba kuna maswali ambayo ni tite kama hata kuna website za wanafunzi ili kudiskasi maswali kwenye mtandao
   
 4. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Uko tayari kulipia?
   
 5. n

  ndume Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Siko tayari kwa sababu life is taff
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mimii nilidhani unatafuta sites zenye shule ili u-solve mwenyewe?

  Anyway..jaribu kuingia kwenye google na kusearch kitu chochote halafu angalia results kwenye wiki!

  Mfano search...define:density kwenye google.com

  Majibu yake haya hapa,

  Density - Wikipedia, the free encyclopedia
   
Loading...