o level nna C ya hesabuO level una alama gani za hesabu
O level nna c ya hesabu na BAM nna C piahO level una alama gani za hesabu
mfano wa iyo core ni ipi na ipiYoyote isipokuwa core
inatolewa na chuo gani mkuuHii itamfaa zaidi
Bachelor of Technology in Laboratory Sciences,
DITinatolewa na chuo gani mkuu
alaf hakuna engineering nyingine yoyote apo ninayowez xoma
ahahaha samahan asee,,,lakin izo engineering ni zipiAndika vizuri sasa ukulienda kusoma engineering unaandika hayo maneno yako utafeli
Xoma = Soma
O level nna c ya hesabu na BAM nna C piah
Ingia kwenye website ya DIT kuna kozi nyingi tu utachagua utakayoona inakufaa kama zitakuchanganya njoo uulize nikuelekezeahahaha samahan asee,,,lakin izo engineering ni zipi