MSAADA

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Habari
Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino.
Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata?
 
Screen yako ni AMOLED au LCD? Zina bei tofauti. Kama ni LCD ina bei ya chini kidogo na hela yako inaweza kutosha. Kama haipatikani nchini unaweza kuagiza mwenyewe kwa AliExpress ingawa utahitaji fundi wa kuifunga. Sijui kama imesaidia au la?
Habari
Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino.
Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom