MSAADA

Loockman

Member
Jan 21, 2019
73
17
Naombeni msaada nimesoma PCB matokeo yangu n CHEMISTRY C BIOS C PHYS E ndoto yangu kusoma MD je naweza kupata sehemu ya kureset jaman somo la phy pekee yake msaada jaman au kwa haya matokeo unanishaul nn?? (Mwaka jana nilijisa chuo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia mambo mengine au namna nyingine

Chagua kusuka au kunyoa
 
Mkuu MD sio rahis kama unavyodhani wewe unaonekana kabisa science sio mambo yako kama kaka yako nakushauri kasomee biashara au uchumi utaweza fanya vizuri chuo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama unahisi ndoto yako kwa namna yoyote ni kuwa daktari au katika sekta ya afya una options kadhaa
Unaweza kurisit kwa ilo somo ila bado itakua ngumu kupata chuo kwa level ya degree kutokana na ushindani(japo uwezi jua miujiza huwa inatokea kama unaamini)
Option nyingine ni kusoma level ya chini kama diploma au cheti na baadaye kuendelea(hutaona safari ni ndefu kama unapenda).
Na ya mwisho ni kuchagua kozi nyingine ya afya unayoweza kuwa interested nayo coz unaweza kufanikiwa kupata admission kwa matokeo hayo.
Asante sana kwa msaada wako nduguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kitu kingine Cha kusoma nje na MD
Utarudia mtihani ndio lkn mwisho wa siku utapoteza muda wako na MD hutapata

Kama una Nia ya dhati kweli na MD anzia ngazi ya diploma au rudia masomo yote na upate ufaulu kuanzia B kupanda juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kitu kingine Cha kusoma nje na MD
Utarudia mtihani ndio lkn mwisho wa siku utapoteza muda wako na MD hutapata

Kama una Nia ya dhati kweli na MD anzia ngazi ya diploma au rudia masomo yote na upate ufaulu kuanzia B kupanda juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila hivi nikitafuta chuo uganda kwa hayo matokeo nitakosa hasa chuo cha makerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom