Msaada

Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
602
563
Madoctor naomba mnisaidie hili,mwanangu jana alikuwa anachemka nikampeleka hospital wakampima wakasem hana homa wala U.T.I nikarudi nae nyumbani,sasa leo asubh akaanza kuchemka tena nikamchukua nikasema ngoja nibadilishe hospital nyingine kumpeleka wamempima wamekuta anamalaria 4,sasa naomba kujua huwa nn kinatokea mpka hospital hii wakute ugonjwa then hospital nyingine hawajakuta ugonjwa?
 
hospitali ya kwanza ulionana na daktari?
wewe ulimuona anachemka kwa maana joto la mwili lilipanda sio!!! anaweza kujieleza mtoto wako au ni mdogo sana?

hayo ya majibu kutofautiana yanatokea sana...na sababu zipo nyingi,
 
Ni mtoto wa miaka 3,nimeonana na Dr baada ya maelezo ndio nikaenda maabara kumpima then majibu yakaja haumwi chochote
 
Back
Top Bottom