MSAADA

nina nchi sita

JF-Expert Member
May 23, 2016
269
141
App Zote katika simu Yangu zinafanya kazi isipokuwa Facebook, ambayo huonesha kama Hanmna conection za internet. Na nikii restore simu yangu tatizo huisha na kujirudia baada ya Siku chache


Simu Yangu nI TECNO L8

WAJUZI MSAADA WENU PLS
 
Back
Top Bottom