Msaada

Kokogonza

Member
Dec 11, 2016
43
10
Habarini wana jf,nina PC yangu aina Dell lkn kila ukiingiza flash inasoma shortcut, lkn hata nikifanikiwa kukopi file lolote toka kwenye flash na kuingiza kwenye pc bado linasoma shortcut, msaada wenu tafadhali kwa mwenye ujuzi
 
Back
Top Bottom