fund xaa JF-Expert Member Feb 12, 2017 253 90 Apr 26, 2017 #1 habari za saizi wakuu mimi ni kijana wa miaka kumi na nane naomba msaada wa kufundishwa umeme wa magari nipo mkoani iringa atakae weza kunifundisha bure sawa.
habari za saizi wakuu mimi ni kijana wa miaka kumi na nane naomba msaada wa kufundishwa umeme wa magari nipo mkoani iringa atakae weza kunifundisha bure sawa.