Nilikuwa napiga sana punyeto, naomba ushauri

claus2

Member
Jun 3, 2016
8
3
Jaman vijana wezangu mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
 
Jamaani mtu akipost kitu anakuwa anategemea sanaa kupata majibu na ufumbuzi wa Changamoto yake so tujitahidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom