Naomba kufahamu kama unamalalamiko kuhusu suala la umeme hasa katika kuunganishwa. Na mikoani wakawa wanazingua je makao makuu wanaweza kutoa msaada. Nifate utaratibu gani. Maake hawa jamaa wa REA wamefikisha nguzo kijijini lakini ghafla zimeyeyuka baada ya kuunganisha nyumba tisa wakati wahitaji ni zaidi ya hamsini. Hatujui zimekwenda wapi ukiwaulizai wanadai leta 50 upate nguzo.