Msaada: Zipo awamu ngapi za mtihani wa Baraza la Pharmacy Tanzania

shalomu8

Member
Jan 3, 2019
6
0
Habari wana JF

Naomba kufahamishwa kuna awamu ngapi za mtihani wa leseni pharm tech unaotolewa wa baraza la pharmacy

Na pia intake inayofuata ni tarehe ngapi kwa mwaka huu 2019?

Asante kwa ushirikiano wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ratiba maalum ya mitihani, kama umefeli mtihani wa December itakubidi usubiri hadi watakapotangaza tena. Inaweza kuwa hata mwezi huu au usifanyike kabisa hadi watakapomaliza waliopo Intern sasa hivi ambayo ni kama Agosti au September

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mim sijawah fanya kabisa
alafu mim sio pharmacist ni techniacian tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom