Msaada ya wa Kujiunga na Package ya STANDARD WEEK ya intaneti ya Tigo kwa kutumia simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ya wa Kujiunga na Package ya STANDARD WEEK ya intaneti ya Tigo kwa kutumia simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Mar 9, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Juzi Tigo walinitumia message ya jinsi ya kujiunga na package ya intaneti ya STANDARD WEEk kupitia simu yangu yenye uwezo wa kujiunga na mtandao wao wa 3G kwa shilingi 4500 kwa wiki.
  Unatakiwa kutuma SMS yenye neno STANDARD WEEK kwenda namba 1...., hiyo namba ndiyo nimesahau na message nilifuta.
  Naomba mwenye kujua hiyo namba anijulishe humu tafadhali.
   
 2. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  STANDARD WEEK to 15166
   
 3. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wanakupa unlmtd or kuna kias maalum?
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unlimited with restrictions, unaweza kusurf utakavyo, no downloading ya large files
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  like can i download a file with atleast 22MB?
   
 6. tototundu

  tototundu Senior Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  duh! hii internet ya simu iko slow kupita maelezo, wala sishauri mtu achukue, bora ila ya standard week ya 15,000 kwa mwezi.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwenye net tigo wanachemsha...nlifkr hta MB 100 ztakua jero!
   
Loading...