Msaada ya haraka, najaribu kujisajili NACTE kwa mara ya pili inakataa

species

Member
Jun 13, 2015
39
95
Wanajamvi naomba ushauri wenu niliomba chuo nacte mwaka jana na liichaguliwa ila sikwenda na mwaka huu nataka kusoma chuo kingine kwani kile cha awali nilishindwa kutokana na uchumi na matatizo ya kifamilia ila nimeanza kuomba chuo tena na mfumo wa nacte unakataa kunisajili je naweza kuwaambia wanifute niombe upya msaada kwa adha hii jamani.
 

species

Member
Jun 13, 2015
39
95
nashukuru kwa wote walionipa ushauri kwa jambo nililokuwa nahangaikia na kweli system nimeitres ipo shwari na nimeshafanikiwa kuomba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom