Ushapata msaada mkuu?Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
Tafuta akaunti inaitwa "na.1stoo" huko mtaa wa Instagram anauza bei poa atakuelekeza dukani kwakeWakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
Sawa mkuu basi fata ushauri wa jamaa hapo juuBado mkuu
China plaza uhakika kuna jamaa yupo floor ya pili, Ila nilichogundua ni kuwa jamaa ana bei Kali kuliko wengine Ila yeye ndio mwenye bei nzuri kuliko wote waliopo China plazanenda china plaza
mwarabu au yule mweusiChina plaza uhakika kuna jamaa yupo floor ya pili, Ila nilichogundua ni kuwa jamaa ana bei Kali kuliko wengine Ila yeye ndio mwenye bei nzuri kuliko wote waliopo China plaza
jamaaa ana Mali sema bei zake zimechangamka sio poa, yani note 10 anauza 750Mcheki huyo jamaa yuko china plazaView attachment 1866851
Nimewahi kuziona oppo mlimani city, sikumbuki jina la dukaWakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran