Msaada: Xiaomi/Oppo zinapatikana wapi?

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,432
2,000
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
 
Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
349
1,000
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
Ushapata msaada mkuu?
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
8,315
2,000
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
Tafuta akaunti inaitwa "na.1stoo" huko mtaa wa Instagram anauza bei poa atakuelekeza dukani kwake
 
sonnita

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,619
2,000
Nenda Posta pia,Kuna store kibao za oppo na Xiaomi,Tena Kuna kipindi hapo nyuma walikua na sales.
 
Nyamwage

Member
Oct 16, 2020
85
150
Mcheki huyo jamaa yuko china plaza
Screenshot_20210724-224222_Instagram.jpg
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,476
2,000
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning.
Msaada wenu utazingatiwa sana.
Natanguliza shukran
Nimewahi kuziona oppo mlimani city, sikumbuki jina la duka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom