Msaada wosia wa marehemu kwa mama wa kambo

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,379
30,829
Naomba kufahamu kama marehemu ambae ni mume ameacha wosia unaomtambua mke wake ambae ni mama yetu wa kambo kama mmiliki wa mali, je mama huyo wa kambo anaweza kuuza mali alizoachiwa na marehemu wakati kuna watoto wa marehemu wadogo na wanaosoma?
 
Kama karithishwa kama yeye, anaweza kuuza. Ila kama alirithishwa kwa niaba ya watoto na yeye basi hawezi kuuza.

Inashauriwa sana unapotaka kuandika wosia, upate guidance ya wana sheria.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom