msaada windows 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada windows 8

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, Jun 20, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  natumia windows 8 lakini nina tatizo la sauti kwenye computer yangu,nikiangalia drivers zote zimeingia vizuri pia ili sauti itoke mpaka ni chomeke pin ya headphone ndio nisikilize je kuna njia nyingine ninayoweza kufanya ili sauti itoke nje?....msaada plz
   
 2. m

  mmteule JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  spika za pc yako zina tatizo kaka........chek them
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hazina tatizo kwa sababu kwenye windows 7 mbona zinafanya kazi,yaani tatizo ni kwamba pale kwenye icon ya sound kuna alama nyekundu lakini ninapochomeka headphone pin ile alama inapotea na sauti inafanya kazi,naombeni msaada sauti itoke nje pasipo kuchomeka pin yoyote..?
   
 4. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika device manager inaweza kuonyesha drivers zote zimeingia lkn ikawa bado inazingua. Fanya kuingia website ya manufacture za sound card yako na download driver ambayo ni compatible na Windows 8 na sio ya 7.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ishu ni driver tu hapo mkuu! inawezekana driver ulizoweka haziko compatible na window 8...!! Afu kuna driver kama realtek huwa zina tabia ya kuinstall kitu kama ki application flani hivi cha realtek audio manager (ukiingia kwenye control panel then audio devices utikuta kama pc yako ilitumia driver za realtek kwa audio - sina hakika kwa drivers zingine) sasa hii ukiifungua huwa inakuwa na settings zingine za sauti ikiwepo hiyo ya kudisable sauti mpaka uweke headphone au mic...so waweza check hiyo pia!!
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Hizo ni settings tu. Hapo kwenye icon ya speaker, wright click kisha bofya properties, alafu itafute settings na ufanye manuva. Mpaka unatumia win8, natumai utaweza kucheza na settings hadi upate sauti
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu pamoja na kupata tatizo la speaker, naomba nikupongeze kwa kwenda na wakati, windows 8!!!
   
 8. h120

  h120 JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Ila kumbukeni hyo windows 8 waliyo release ni preview kwa ajili ya kukusanya makosa na ku fix bugs kwa hiyo bado ipo matengenezoni. WINDOWS 8 BETA ndio itakuwa kamili kabisa na ndiyo itaingia sokoni.
   
 9. h120

  h120 JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  unatumia computer model gani? kama ni hp yenye sound adapter ya realtek nenda ka download latest driver za realtek kwenye website yao.
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Umesema ukweli mkuu.
  Mimi nilijaribu kuitumia, nikaona inanizingua. Maana inakuwa inarestart kila baada ya muda fulani, kama kila baada ya masaa mawili hivi. Kifupi hii preview haina haina mpango wowote. Tusubiri hiyo Wind. 8 BETA, maana ilikuwa inategemewa kuwa release April lkn naona hadi June hii, kitu kimya.
   
 11. h120

  h120 JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Ila ninayotumia kwangu ipo fresh perfomance yake ni noma sio kama win 7 ukiwasha system fasta yani inawaka. Kwenye pc yangu nimeweka win 7 ultimate na win 8 consumer prvw kuna tofauti kubwa sana win 8 ni light ni nomaa kwa ufupi
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wonderful!
  Kwa hiyo kitu ni Genuine, siyo mkuu?

  Ngojea nikitafute sasa hivi.
   
 13. ropam

  ropam Senior Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi pia nilikuwa na tatizo kama lako...though kwangu liliongezeka lingine kubwa zaidi, pamoja na speaker kutokuwa supported pia modem hazikuwa supported (windows 8 developer preview)...hapo ndo nilishindwa kuivumilia, nkaibwaga
   
 14. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ningependa kukusaidia lakini hiyo Windows 8 HAIJATOKA. Either uliyonayo ni service pack au beta/preview ambayo inakutumika kutest makosa kama hayo yako ili wakiachia Windows 8 yenyewe isiwe na makosa hao.
   
 15. N

  Nyasiro Verified User

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  haitakuwa kamili kabisa
   
 16. h120

  h120 JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  upo sahihi itakayo kuwa kamili ni win 8 pro
   
Loading...