msaada..window audio service is not running.

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
nahtaji msaada pc yngu imekata sauti......ukifungua icon ya volume inanambia window audio service is not running...
 
unatumia window gani? kama ni xp basi click start, right click katika my computer then chagua services..kuna window itafunguka kuna list ndeeefu...tafuta hiyo window audio services, i right click then start..
kwa window seven, 8 au vista we click start then kwenye search box pale andika services..then fanya kama hapo juu..make sure una drivers za audio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom