Msaada: Whatsapp zangu zimekuwa banned eti sijawa registered

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Whatsaap ghafla iliniandikia hivi:

"You phone number has no longer registered on Whatsapp" nikiverfy nakuta nishaambiwa nipo banned yaani hii ni namba ya 4 fasta fasta.

Hakuna kibaya chochote nilichotenda, sina MAGROUP ya ajabu na sijashare chochote kibaya.

Nina magroup ya ujasiriamali pekee miaka yote hii ni namba ya nne ghafla tu week hii zikipigwa ban tu ghafla ghafla.

Wajuzi nisaidieni hii inatatuliwa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una groups za WhatsApp? Itakuwa banned for a suspicious Group name.
Uwe unachunguza groups za kujiunga kabla haujajiunga. Na ujue wanajadili nini humo ndani

Rafiki yangu wamefungiwa group nzima, kwa sababu mtu alibadilisha jina la group na kuandika kitu ambacho ni illegal.

Hizi ban zipo hadi Facebook na Instagram. Kwahiyo watumie e-mail watakujibu kwanini wamekufungia, na kama wameku-ban kimakosa watakufungulia.

Pole sana.
 
Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah mie kwangu niki install hizi whatsapp mfano gbwhatsapp basi inajionganisha na officiall whatsapp yani inakuwa kama ume install official whatsapp na hapo haikubali ku install whatsapp nyengine,nimejaribu whatsapp business imegoma ukijaribu hizi mod inakataa pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom