Msaada whatsapp setting

PARADIGM

JF-Expert Member
Sep 9, 2014
2,774
1,815
Habarini wanajf,

Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
 
Habarini wanajf. Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
Huduma hiyo kwenye whatsap ya kawaida, haipo.

Ila utumie whatsap zile za GB whatsap and alikes.
 
Mzigo huo free download
Mengine fautilia kwenye setting
 
Habarini wanajf,

Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
Official WhatsApp hawana huduma hiyo maana ni kinyume na sera zao.
Labda utumie App nyingine kama FM WhatsApp, GB WhatsApp na nyinginezo. Hizo lakini hutapata play store nenda kama ni chrome tafuta kwa kuiandika App husika na malizia na neno "apk"
 
Ahsante.ngoja nijaribu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom