Huduma hiyo kwenye whatsap ya kawaida, haipo.Habarini wanajf. Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
Yes, Google utapata maelezo au ulizia watu wa karibu wakueleze.Ahsante hiyo ya Gb ni free?
Official WhatsApp hawana huduma hiyo maana ni kinyume na sera zao.Habarini wanajf,
Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
Ahsante.ngoja nijaribu.Official WhatsApp hawana huduma hiyo maana ni kinyume na sera zao.
Labda utumie App nyingine kama FM WhatsApp, GB WhatsApp na nyinginezo. Hizo lakini hutapata play store nenda kama ni chrome tafuta kwa kuiandika App husika na malizia na neno "apk"