MSAADA:- WhatsApp Errors.

Kibereko

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
381
888
Habari za muda huu Mabibi na Mabwana.
Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi.
Naogopa Ku UnInstallation kwasababu nipo nje ya Tanzania natumia WhatsApp kwa namba yangu hiyo hiyo ya Tanzania sasa naogopa inaweza kukutaa kurudi tena kwenye WhatsApp kwa namba yangu hiyo ya Tanzania.
Naombeni msaada kwa yeyote anaeweza anifahamishe.
 
Mkuu kwani huko uliko laini ya Tanzania haifanyi kazi?Kwa maana ya kupokea meseji. Kama unaweza pokea meseji we uninstall tu then code utatumiwa.
 
Line Aiwezi kupokea SMS mkuu line imeoff kabisa sipatikani kwa call wala SMS.
 
Nenda YouTube kuna topics kibao zitakusaidia
Nimejaribu but wanasema kama simu aiwezi kupokea SMS aiwezekani ndio maana nimekuja humu Jf kuna wajuzi wengi wanaweza kunisaidia, kutumia WhatsApp kwa namba ya huku sitaki watu wengine wajue kama sipo Tanzania ndio maana natumia WhatsApp kwa namba ya Tanzania.
 
Line Aiwezi kupokea SMS mkuu line imeoff kabisa sipatikani kwa call wala SMS.
Line gani?Huku niliko Voda inasoma na meseji zinaingia kama kawaida ila siwezi kutuma txt au kupiga simu.Na watsap yangu huwa natumiwa code kupitia namba ya voda
 
Natumia line ya tiGo Alafu huku Akuna Roaming connection
 
Angalia DND-Mode (ina alama kama bar ya wi-fi) kama ipo enabled basi disable. Inawezekana tatizo lipo hapo au piga screenshot tuone
 
Habari za muda huu Mabibi na Mabwana.
Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi.
Naogopa Ku UnInstallation kwasababu nipo nje ya Tanzania natumia WhatsApp kwa namba yangu hiyo hiyo ya Tanzania sasa naogopa inaweza kukutaa kurudi tena kwenye WhatsApp kwa namba yangu hiyo ya Tanzania.
Naombeni msaada kwa yeyote anaeweza anifahamishe.
Mkuu whatsapp ni web based sio laini ya simu uliyosajilia, tumia line yeyote ya huko then ifute hiyo whatsapp then anza maisha mapya hakuna kinachopotea, ila kwenye registration utaandika hiyo laini ya hapa bongo. Data zote za whatsapp zinarudi upya kama chats nk
 
Sawa mkuu Ahsante sana kwa ushauri nitafanya hivyo ingawa siitaji watu wengine wajue kama nimesafiri sipo Bongo .

Hata ukibadili watajua kama ukituma message ya kawaida, ila mawasiliano ya text kwa whatsapp hayaonyeshi line, yataendelea kuonyesha kama unatumia line ya bongo
 
Tatizo pale katika kujaza namba hatopokea zile confirmation code kama nimemuelewa mkuu na tigo haina roaming nchi za watu.
 
Back
Top Bottom