Msaada wenye ufahamu wa kuanzisha NGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenye ufahamu wa kuanzisha NGO

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mamabaraka, Oct 28, 2011.

 1. m

  mamabaraka Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naomba msaada wa kimawazo namna ya kusajiri NGO yangu mwenyewe, pia kwa anayefaham naomba anisaidia kunifahamisha registration inafanyika wapi?
   
 2. j

  jigoku JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  andika email yako mamabaraka halafu nitakuelekeza nini cha kufanya.
   
 3. spike

  spike Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mkuu hata mimi nilikua nahitaji hayo maelezo email yangu ni obbyb2b@yahoo.com naomba unisaidie mkuu.
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mwaga mambo hadharan mkuu
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  mkuu saidia na mm kupitia gmdemu@gmail.com
   
 6. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu wengi tuna shida ya kufahamu hizo steps ama procedure ili kuwa na NGO i also sent you my e-mail katika inbox yako,tusaidie tafadhali
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huwa naziona ngo kama wizi tu.
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280

  Kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiba!!! huyo anayewaomba waandike ad zao ndo mwalimu wa wezi!!!
   
Loading...