Msaada wenu wakuu!

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Tangu nikiwa mdogo kiumri hadi leo nimekuwa nasikia fulani na fulani hawapatani kama chui na paka. Je, ni kweli kwamba chui na paka hawapatani? Na katika ugomvi wao nani anaibuka mbabe wa mwenzake? Ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom