Msaada wenu wakuu

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,280
2,000
Kwa wale wenye uzoefu wa kutumia mfumo wa maombi ya kielectronic kwa kuomba kazi za UN " insipira portal" naombeni msaada wenu wakuu, Kuna nafasi za kazi zimetangazwa stationed " Botswana" Nimejaza profile inasoma asilimia 100 tatzo sehemu ya kuapload letter of application, inaniambia nichague job husika nikichagu hainipi option ya kuapload barua,
Kwa wazoefu naombeni mawazo yenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom