Msaada wenu wadau

Nenda ukapambane mkuu wamekushortilist kwa sababu CV yako ilionyesha unafaa kwa hiyo job.sasa unakuja tena kutafuta madesa,si itakuwa kama kuibia hiv au?

I'm just kiding mkuu,nenda ukaonyeshe uwezo wako.by the way kuwa shortlisted maana yake umeonyesha unafaa,hongera, Mungu akutangulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom