Msaada wenu wa point za hili swali challenge Infection prevention Control (IPC)

Masada wenu wa point na ufafanuzi hili swali challenge of IPC
Nataguliza shukrani
Hili swali umeulizwa katika context gani mkuu?
Yaani challenge of IPC kwenye health facility, au challenge of IPC in Tanzania au challenge of imolementing IPC Programe au nini? Maana jinsi ulivyoliweka swali bila background wala context inakua ngumu kweli kusaidika Peter Majaliwa
 
Dr hajui
Sisi wa cheti??
 
kwenye health facility mkuu
Kama ni kwenye health facility, main points ni hizi;
-Limited knowledge on IPC practises for healthcare providers
-Lack of IPC guidelines availability at health care facility levels
-Lack of IPC equipments at the facility level
-IPC activities and equipments are not priotized at the facility level due to lack of funds and/or lack of planning/budgeting skills.
-limited infrastructures to practise IPC (Eg limited hand washing facilities, limited water supply).
-Limited supervision and mentorship on IPC from district/regional/Minsitry of Health level.
Peter Majaliwa
 
Very good.
In third point use the word inadequate instead of lack.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom