Msaada wenu unahitajika

Mmanyanigho

Senior Member
May 18, 2018
185
326
Habari zenu ndgu zangu wanajamii forums. Natumai mu wazima.

Naombeni msaada wakuu, mi ni kijana ambae najitafuta bado.

Msaada ninaoomba ni kiasi cha shilingi 200,000 (laki mbili) za kitanzania. Hiyo pesa ni kwa ajili ya kuanza biashara.

Hata hivyo napokea kiasi chochote, lakini pia hapa natumia infinix hot 9, ninaiuza kwa bei hiyo pia (200,000).
Ninapokea mkopo pia, naweka hii simu kama bond, kama upo karibu nami basi nitaileta ili nipate hicho kiasi cha fedha.

Karibuni kwa maoni, ushauri na msaada.
Wenu katika ujenzi wa taifa Mmanyanigho

Nipo tukuyu mbeya.
 
Atleast wewe umeonesha kichwani akili zipo.

Umetumia formula ya simu yangu mtaji wangu.

Je umeshafanya mchanganuo unataka kufanya biashara gani?

Maana kuna vijana wa hovyo siku hizi wanadhani kubet ni ajira.
 
Grocery mkuu, frem ipo ishu ni vinywaji tu.

Na hapa nilipo eneo ni rafiki sana nikipata huo mtaji nikipiga mwenyewe kwa miezi kadhaa, nikileta mdada/wadad baadae hapa mambo yatakua moto sana.
 
Grocery mkuu, frem ipo ishu ni vinywaji tu.

Na hapa nilipo eneo ni rafiki sana nikipata huo mtaji nikipiga mwenyewe kwa miezi kadhaa, nikileta mdada/wadad baadae hapa mambo yatakua moto sana.
Frame ipo wapi?mkoa? Nikikuletea mrembo kutoka jf kukaa hapo anauza vinywaji utakuwa waniletea kiasi gani
 
Frame ipo wapi?mkoa? Nikikuletea mrembo kutoka jf kukaa hapo anauza vinywaji utakuwa waniletea kiasi gani
Sijakuelewa mkuu, yaani uniletee mrembo halafu niwe nawalipa wewe pamoja na mrembo! Ama nakulipa wewe??
 
Back
Top Bottom