Msaada wenu tena great thinkers... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu tena great thinkers...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jamii01, Jan 26, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  niko kwenye mchakato wakufungua kituo cha radio..Mwanza na cover maeneo ya mikoa y MWZ,MARA,KAGERA,SHINYANGA,TABARA,KIGOMA,SINGIDA NA DODOMA.awamu ya pili nitendelea kuchukua baadhi ya mikoa iliyobaki na mwisho nitaunganisha kwa kurushia satellite..,
  Sasa kuna vitu nilikuwa nimekwisha anza kuvitafuta..nimeoredhesha hapa chini..kwa wale ambao mnautaalam naomba mnisaidie vitu vingine ambavyo nimeweza kuvisahau na nilazima nivitafute ..,Nakama kuna marekebisho pia naomba mnisaidie..

  1.Transmission Equipments

  Transmitter

  Receiver

  Transmission lines

  Audio Processor

  Connectors

  Interface panel

  Cable

  Equipment Rack

  UPS

  2. Production & Studio equipments

  Microphone.

  CD players

  Playing the music

  Mixer

  Amplifiers

  Monitor Speakers.

  Speaker Mounts

  Computer automation software.

  Rack Mount

  Power Protection Units
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni pm
   
Loading...