Airwing secondary, ni shule ya jeshi Iko banana Dar es salaam Ada ni chini ya 2mDar es salaam,morogoro,arusha
Namba nimezipata ila dah mudawote napiga hazipatikani. Kama naweza pata namba ya mwalimh yeyoteWrite your reply...www.school.co.tz tafuta morogoro utaipata na mawasaliano yake
Sawa ila vipi mkuu unaijua ile shuls hata kwa uchache unijuze!Write your reply...maybe kwa sababu ni wekend jaribu weekdays