KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Habari zenu bandugu heri ya sikuku ya pasaka. Mimi ninahitaji msaada wenu kwenye hii issue. Nina binti yangu anatokea Mbeya kuja Moshi leo, sasa limetokea tatizo la mawasiliano kati yangu na yeye ambaye ndo nitapaswa kumpokea huku saa 6 usiku.
Binti alikuwa na simu ila jana ulitokea mkanganyiko huko alipokuwa simu ikachukuliwa na asubuhi kaenda stand na boda boda. Sasa hapa nilipo nimechanganyikiwa kwani sijajua kama ameingia kwenye bus, kwani nilimwambia kupitia simu ya huyo mlezi wake kuwa akiingia ndani ya gari mtu atakayekaa naye amwombe simu anitext sasa mpaka naandika hii thread hajafanya hivyo. So sina uhakika kama ameshapanda au la! Naombeni yoyote mwenye namba za basi la hood linalotokea Mbeya to Arusha anisaidie contact zao ili niweze kujua hali ya huyu binti kwani hayupo vizuri kiafya...
Nisaidieni namba za hiyo kampuni tafadhali