Msaada wenu kuhusu VETA

dj medy

Member
Aug 11, 2014
48
9
Habari wana JF.

Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine nitashukuru kwa ushikiano wenu
 
Back
Top Bottom