Msaada wenu:Kuchoka na mwili na maapigo ya moyo kwenda mbio

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Wadau hii leo ni kama siku ya pili nachoka sana mwili na mapigo ya moyo yananienda mbio sana
Kama week moja iliyopita nilihisi hali hii lkn ikanibidi niende kwa dokta akanipima malaria nikawa nayo nne na nikapatiwa dawa lkn baada ya kumaliza dozi ya malaria hali ile inajirudia tena ss naomba msaada wa mawazo jamani!
 
Pima pressure yako uone kama iko normal,Pima uzito wako umuulize doctor kama uzito wako ni sahihi,unakunywa sana kahawa?Nenda tena hospitali ukapimwe nahisi hilo ndio suluhisho.
 
Wadau hii leo ni kama siku ya pili nachoka sana mwili na mapigo ya moyo yananienda mbio sana
Kama week moja iliyopita nilihisi hali hii lkn ikanibidi niende kwa dokta akanipima malaria nikawa nayo nne na nikapatiwa dawa lkn baada ya kumaliza dozi ya malaria hali ile inajirudia tena ss naomba msaada wa mawazo jamani!

Pole sana kwa hilo, je una mazoea ya kunywa maji mengi ni dawa, pia kapime sukari mungu akunusuru.
 
Back
Top Bottom