myhny
Senior Member
- May 27, 2014
- 123
- 23
Kuna rafiki yangu alifiwa na baba ake toka akiwa standard 2.
Walikuwa wawili tu katika family yeye na mdogo wake mama yao alijitahidi sana kuwalea pasipo na ushirikiano kwa upande wa baba yake wamekuwa sasa wakubwa.
Mmoja akawa kapata mchumba akampeleka kwao huyo mwanaume alikuwa na kazi yake.
Na walipanga baada ya huyo binti kumaliza chuo mwaka wa mwisho waowane ila nyumbani kaishajitambulisha baada ya huo mwaka kuisha yule kaka akawa kaacha kazi kutokana na mambo ya ugomvi kazini sasa ndugu zake upande wa baba hawataki tena yule mwanaume amuoe eti kisa hana kazi.
Kwa mama yake yuko radhi kwa lolote anaomba ushauri