Msaada: Website ya Wizara ya Mawasiliano Sayansi na teknolojia

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Jamani hawa jamaa wana Website kweli Mbona nime google lakini sipati, naombe anayefahamu website aiweke hapa kuna info nataka kuchungulia huko
 
Piga simu uulizie. ila usishangae wakikuambia web site yao ina matatizo. Bado hata wizara nyingi za serikali hata zile zenye TOVUTI hazitambui kama email ni njia ya mawasiliano

Unaweza kuliona hilo kwenye adress zao sijaona wizara zikiweka email adress. wanaweka simu na fax tu


Unakumbuka muheshimiwa Rais JK alivyopokea maswali ya wananchi email adress iliyotumika ? Ilikuwa ni ya yahoo.

Ebu jaribu kupiga simu uwaulize number zao waambie wakuunganishe na mkurugenzi au kitengo cha ICT.

Ministry of Communication, Science and Technology
P.O. Box 2645
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2116531
Fax: +255 2112751
 
Back
Top Bottom